← Rudi Dukani
Blood sugar complex balance Tanzania
Blood sugar complex - picha 1Blood sugar complex - picha 2Blood sugar complex - picha 3Blood sugar complex - picha 4Blood sugar complex - picha 5

Nyumbani → Capsule / Jelly Series → Blood sugar complex

Capsule / Jelly Series

Blood sugar complex

Tsh 70,000

🩸 BLOOD SUGAR COMPLEX – MSAIDIZI WA AFYA YA SUKARI MWILINI Unahangaika na kupanda na kushuka kwa kiwango cha sukari? Blood Sugar Complex imeundwa kwa mchanganyiko wa viambato 20 muhimu kama Cinnamon, Chromium na Mulberry ili kusaidia afya ya mwili kwa ujumla na kusaidia kudumisha kiwango cha sukari kilicho ndani ya kiwango cha kawaida. ✅ Husaidia kudumisha blood sugar iliyo kwenye kiwango cha kawaida. ✅ Husaidia kuboresha metabolism ya mwili. ✅ Husaidia kuongeza nguvu na uchangamfu. ✅ Husaidia kuimarisha kinga ya mwili. ✅ Husaidia afya ya mwili kwa ujumla. ✅ Ina viambato vyenye antioxidant.

🛒 Ona kwenye Duka / Nunua ✨ Ask Agnes AI about this product

Bidhaa hii haikusudiwi kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Si mbadala wa ushauri wa kitabibu. / This product is not intended to diagnose, treat, cure, or prevent any disease.

Maswali Kuhusu Bidhaa Hii

Naagizaje Blood sugar complex?

Bofya "ORDER NOW" kwenye ukurasa huu, au tuandikie WhatsApp +255 678 883 675. Tunakufikishia Dar es Salaam, mikoani, na pia Kenya, Uganda na Burundi.

Bei ya jumla (wholesale) ya Blood sugar complex ni ngapi?

Rejareja ni Tsh 70,000. Ukinunua vipande 5 au zaidi ni Tsh 55,000 kwa kimoja, na vipande 10 au zaidi ni Tsh 45,000 kwa kimoja.

Nawezaje kulipa?

Tunapokea M-Pesa, Mixx by Yas, HaloPesa na NMB. Maelezo kamili yako kwenye ukurasa wa Uwasilishaji na Malipo.

Naweza kuuliza kabla ya kuagiza?

Ndiyo. Tuandikie WhatsApp +255 678 883 675 na tutakujibu kuhusu matumizi, upatikanaji na usafirishaji.