← Rudi Dukani
Ems foot massage Tanzania
Ems foot massage - picha 1Ems foot massage - picha 2

Nyumbani → Drops / Patch Series → Ems foot massage

Drops / Patch Series

Ems foot massage

Tsh 75,000

Ems Foot Massager Ni kifaa kinachotoa msisimko wa umeme mdogo kwenye misuli ya miguu ili kuchochea mzunguko wa mzuri wa damu Kazi zake 💎Upunguza maumivu ya miguu hasa kwa wanaosimaa muda mrefu au wenye maumivu ya kisigino 💎Kuongeza mzunguko mzuri wa damu 💎Kulekebisha misuli iliyokaza 💎Kusaidia kwa wale wanaopanda ganzi kutokana na mzunguko wa damu kuwa mdogo Matumizi yake 👉Unaweza miguu kwenye kifaa kwa muda wa dakika 15

🛒 Ona kwenye Duka / Nunua ✨ Ask Agnes AI about this product

Bidhaa hii haikusudiwi kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Si mbadala wa ushauri wa kitabibu. / This product is not intended to diagnose, treat, cure, or prevent any disease.

Maswali Kuhusu Bidhaa Hii

Naagizaje Ems foot massage?

Bofya "ORDER NOW" kwenye ukurasa huu, au tuandikie WhatsApp +255 678 883 675. Tunakufikishia Dar es Salaam, mikoani, na pia Kenya, Uganda na Burundi.

Bei ya jumla (wholesale) ya Ems foot massage ni ngapi?

Rejareja ni Tsh 75,000. Ukinunua vipande 5 au zaidi ni Tsh 60,000 kwa kimoja, na vipande 10 au zaidi ni Tsh 50,000 kwa kimoja.

Nawezaje kulipa?

Tunapokea M-Pesa, Mixx by Yas, HaloPesa na NMB. Maelezo kamili yako kwenye ukurasa wa Uwasilishaji na Malipo.

Naweza kuuliza kabla ya kuagiza?

Ndiyo. Tuandikie WhatsApp +255 678 883 675 na tutakujibu kuhusu matumizi, upatikanaji na usafirishaji.