Nyumbani → Creams → Bee venom scar gel
Tsh 35,000
bee venom scar gel Hii ni gel ya kupaka kwenye ngozi inasaidia kuondoa na kuboresha muonekano wa makovu Kazi zake; 🌟Husaidia kupunguza muonekano wa makovu hivyo kufanya eneo lenye kovu kuonekana laini zaidi 🌟Hutumiika kuondoa makovu baada ya upasuaji na hii ni baada ya jeraha la upasuaji kupona na kufunga vizuri 🌟Hutumia kuondoa makovu yaliyoachwa na chunusi 🌟Hutumia kuondoa makovu ya kuungua na moto 🌟Husaidia kulainisha ngozi ya kovu hasa sehemu yenye ngozi ngumu au kavu 🌟Husaidia kufanya ngozi kuwa smooth na kuboresha texture Matumizi yake 👉🏼Safisha vizuri sehemu yenye kovu 👉🏼Paka kiasi kidogo cha gel kisha massage kwa dakika 3-5 hadi ifyonzwe vizuri 👉🏼Tumia asubuhi na jioni
🛒 Ona kwenye Duka / Nunua 📝 Agiza kwa WhatsApp (jaza fomu kwanza) ✨ Ask Agnes AI about this productBidhaa hii haikusudiwi kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Si mbadala wa ushauri wa kitabibu. / This product is not intended to diagnose, treat, cure, or prevent any disease.
Bofya "ORDER NOW" kwenye ukurasa huu, au tuandikie WhatsApp +255 678 883 675. Tunakufikishia Dar es Salaam, mikoani, na pia Kenya, Uganda na Burundi.
Rejareja ni Tsh 35,000. Ukinunua vipande 5 au zaidi ni Tsh 23,100 kwa kimoja, na vipande 10 au zaidi ni Tsh 19,250 kwa kimoja.
Tunapokea M-Pesa, Mixx by Yas, HaloPesa na NMB. Maelezo kamili yako kwenye ukurasa wa Uwasilishaji na Malipo.
Ndiyo. Tuandikie WhatsApp +255 678 883 675 na tutakujibu kuhusu matumizi, upatikanaji na usafirishaji.