




Nyumbani → Softgel / Capsule Series → Pumpkin Seed Oil with Saw Palmetto Softgels - 300 Softgels
Tsh 70,000
PUMPKIN SEED OIL WITH SAW PALMETTO SOFTGELS Mchanganyiko Bora wa Mbegu za Maboga na Saw Palmetto Huu ni mchanganyiko wa asili wa supplement mbili muhimu unaotumika zaidi kusaidia afya ya tezi dume (prostate), moyo, nywele na ngozi. Pakti 1 Lina: Softgels 300 | 2-in-1 Formula KAZI ZAKE KUU: 🌟 Ina mafuta muhimu yanayosaidia afya ya tezi dume 🌟 Husaidia kupunguza kukojoa mara kwa mara 🌟 Husaidia kuwa na mtiririko mzuri wa mkojo 🌟 Husaidia afya ya uzazi kwa wanaume 🌟 Husaidia afya ya moyo, nywele na ngozi 🌟 Ni supplement nzuri kwa afya ya tezi dume na kibofu cha mkojo Sifa: ✓ Cold Pressed Natural ✓ Rich in Essential Fatty Acids ✓ Non-GMO, Soy Free, Gluten Free, Dairy Free MATUMIZI YAKE: 👉🏼 Unatumia supplement 3 kwa siku, na maji baada ya chakula au kama anavyoelekeza mtaalamu wa afya. Onyo: Kwa watu wenye changamoto ya kiafya, wajawazito, au wanaotumia dawa, wasiliana na dakta
🛒 Ona kwenye Duka / Nunua 📝 Agiza kwa WhatsApp (jaza fomu kwanza) ✨ Ask Agnes AI about this productBidhaa hii haikusudiwi kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Si mbadala wa ushauri wa kitabibu. / This product is not intended to diagnose, treat, cure, or prevent any disease.
Bofya "ORDER NOW" kwenye ukurasa huu, au tuandikie WhatsApp +255 678 883 675. Tunakufikishia Dar es Salaam, mikoani, na pia Kenya, Uganda na Burundi.
Rejareja ni Tsh 70,000. Ukinunua vipande 5 au zaidi ni Tsh 50,000 kwa kimoja, na vipande 10 au zaidi ni Tsh 45,000 kwa kimoja.
Tunapokea M-Pesa, Mixx by Yas, HaloPesa na NMB. Maelezo kamili yako kwenye ukurasa wa Uwasilishaji na Malipo.
Ndiyo. Tuandikie WhatsApp +255 678 883 675 na tutakujibu kuhusu matumizi, upatikanaji na usafirishaji.