Bidhaa zinazolenga afya na muonekano wa ngozi, zilizoundwa kwa viungo vya asili.



































































Kwenye ukurasa huu utapata virutubisho, collagen, krimu na bidhaa za utunzaji wa ngozi, nywele na umbo zinazopatikana Agnes Herbal Supplements, Makumbusho Bus Stand, Dar es Salaam. Kila bidhaa ina ukurasa wake wenye bei ya rejareja na ya jumla, maelezo ya matumizi na njia ya kuagiza kupitia fomu ya oda. Tunatuma Dar es Salaam, mikoani na nchi 33 duniani; gharama ya usafiri huthibitishwa baada ya oda.