Vitamini na virutubisho vya kila siku kwa ajili ya kinga ya mwili, nishati, na afya bora — kwa watu wazima na watoto.















































Ukurasa huu una vitamini, madini na virutubisho vya kila siku vinavyopatikana Agnes Herbal Supplements, Makumbusho Bus Stand, Dar es Salaam. Fuata kiwango kilichoandikwa kwenye kifurushi na umuone daktari kama una hali ya kiafya au unatumia dawa. Agiza kupitia fomu ya oda; tunatuma Dar es Salaam, mikoani na nchi 33 duniani.