Hapa kuna virutubisho na bidhaa za afya ya uzazi na wanawake zinazopatikana Agnes Herbal Supplements, Makumbusho Bus Stand, Dar es Salaam. Bidhaa hizi si mbadala wa ushauri wa daktari; kama una ujauzito, unanyonyesha au una hali ya kiafya, muone daktari kabla ya kutumia. Agiza kupitia fomu ya oda; tunatuma Dar es Salaam, mikoani na nchi 33 duniani.