Agnes Herbal Supplements inatoa mkusanyiko mpana wa chai za asili (herbal tea) zilizotengenezwa kwa mimea asilia. Chai hizi zinapatikana kwa bei ya rejareja na jumla, na zinatumwa Tanzania, Kenya, Uganda na Burundi.